Taarifa ya TBC inazungumzia habari Rais na marekebisho katika safu ya Baraza la Mawaziri.
Taarifa ya kipindi cha Dira ya Leo cha RSI (Redio Sauti ya Injili) ina habari ya kusikitisha ambapo Ofisa Mtumishi Mkuu Daraja la Pili katika Halmashauri ya jiji la Mwanza Pius Songoma anashikiliwa na kikosi cha Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa...
Many People like the Cheap Louis Vuitton Bags very much and would consider that the Louis Vuitton Company come from In italy , in fact it is born from paris in France.So you unlidely see real Louis Vuitton Bags For Sale in other city except france. But please don't worry about that ,if you want to buy a cheap louis vuitton items ,you could search the Louis Vuitton Online in the internet,you can get the cheap louis vuitton handbags anywhere.
mwendokasi huchukua sehemu ndogo sana katika ajali bali tatizo ni madereva kutokuwa na elimu muhimu kama udereva wa kujihami hali inayomfanya dereva kutotambua hatari, nidhamu ya udereva na uvumilivu. NAOMBA SERIKALI IDHIBITI WENYE VYOMBO VYA ABIRIA KUAJIRI MADEREVA RAHISI KUENDESHA ABIRIA NI HATARI KWANI HAWANA TAALUMA NA NDO CHANZO KIKUU CHA AJALI